MSHIKEMSHIKE: Mechi ya kirafiki kesho, Iran Vs Tanzania. Una ushauri gani kwa Kocha Hemed Suleiman Ali ‘Morocco’ na wachezaji wa Taifa Stars?
Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#Mshikemshike