‎Rasmi nchi ambayo sensa yake ya mwisho ya watu na makazi, jumla ya raia 527,326 imefuzu fainali ya kombe la Dunia 2026

‎Rasmi nchi ambayo sensa yake ya mwisho ya watu na makazi, jumla ya raia 527,326 imefuzu fainali ya kombe la Dunia 2026.

‎Sio wengine bali Cape Verde ni baada ya ushindi wa chuma tatu (3-0) usiku huu dhidi ya Eswatin na kufikisha pointi 23 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote.

Wameweka historia kwa mara ya kwanza kufuzu worldcup🙌🏿

‎Wametoboa kutoka kundi D

‎Cape Verde
‎Cameroon
‎Libya
‎Angola
‎Mauritius
‎Eswatin

‎Timu zilizofuzu hadi sasa kutoka Afrika..
‎Morocco
‎Tunisia
‎Algeria
‎Misri
‎Ghana
‎Cape Verde

Kufikia hapo zimebaki timu tatu kutoka makundi matatu kukamilisha orodha ya timu tisa kutoka Afrika.

‎MIPANGO MATHUBUTI INALIPA

#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *