Serikali imeendelea kuwasisitiza Watanzania kutumia haki ya kikatiba ya kuwachagua viongozi wa ngazi mbalimbali nchini ikiwemo ngazi ya Rais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Ikiwa yamesalia majuma mawili kufikia tarehe hiyo, hii hapa mitazamo ya wapiga kura kutoka maeneo mbalimbali nchini.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *