Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Iramba mkaoni Singida imewatahadharisha madereva wa bodaboda na bajaji kutotumiwa na watu wenye nia ovu katika kipindi cha uchaguzi kwa kutoa au kusambaza rushwa.
Deus Liganga ameandaa taarifa ifuatayo kuhusu mafunzo ya kujiepusha na rushwa yaliyotolewa na TAKUKURU kwa maafisa usafirishaji hao.
Mhariri @moseskwindi