Tani 10,000 za Mbolea ya kukuzia mazao kwa ajili ya msimu wa kilimo wa 2025 – 2026 zimeshushwa bandarini jijini Dar es salaam na kuanza kwa kusambazwa kwa wakulima nchini ili kuendana na msimu huo utakapoanza.

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya mbolea ya Taifa, Samwel Mshote wakati wa upakuaji wa shehena hiyo huku akisema tayari zaidi ya tani 40,000 zilishapakuliwa na kuanza kusambazwa.

Imeandaliwa na Robert Mayungu.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *