UZI WA AZAM FC WATUA MAREKANI: “Kuna wakala wetu mmoja nadhani alishapeleka jezi mpaka Marekani”
Katika mkakati wa kuikuza nembo ya Azam FC, Meneja Mauzo na Masoko wa timu hiyo Ayoub Shelukindo tayari jezi zao za msimu uliopita zilifika Marekani na wapo na mpango wa kuitangaza katika nchi za Afrika.
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#AzamFC