VISIT TANZANIA KUTUA ULAYA: “Kuna kazi inayendelea ya kuweka udhamini kwenye moja ya klabu kubwa duniani barani Ulaya”

VISIT TANZANIA KUTUA ULAYA: “Kuna kazi inayendelea ya kuweka udhamini kwenye moja ya klabu kubwa duniani barani Ulaya”
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, amesema upo mpango wa kuitangaza Tanzania katika moja ya klabu za soka barani Ulaya ikiwa ni sehemu ya kuvutia watalii kama zifanyavyo baadhi ya nchi nyingine.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#Viwanjani #Msigwa #MsemajiMkuuWaSerikali

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *