Viwanda vingi viko Segerea lakini vijana wetu hawana ajira. Nitahakikisha ajira za vijana zinaanzia Segerea.”
Ni maneno ya mgombea ubunge kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Agnesta Lambert Kaiza. akizungumza leo katika Kipindi cha Bonanza kinachorushwa na Radio Free Africa.
Agnesta amesena kuwa kama ni suala la elimu atahakikisha jambo hilo linafanikiwa ili vijana wengi wa jimbo hilo wawe na vigezo vya kuajiriwa.
#StarTvUpdate