Wakazi wa Kata ya Nyawilimilwa Wilaya ya Geita Mkoa wa Geita wamemshukuru Dkr Samia Suluju Hassan kwa kuwapelekea huduma muhimu za kijamii ikiwemo maji safi na salama na huduma za afya karibu na maeneo yao
Wakiongeea na startv wakazi hao wamesema awali walikuwa wanalazimika kusafiri umbali mrefu kwenda Nzela,Geita mjini,Sengerema na hata Bugando Mwanza kufuata matibabu. lakini baada ya Dkt Samia Suluhu kuwajenga hospitali sasa wanapata huduma karibu na maeneo yao.
#StarTvUpdate