Wakazi wa Mbagala na maeneo ya karibu wanaotumia barabara kuu ya mikoa ya kusini wameanza kushuhudia utekelezaji wa mradi wa mabasi ya mwendo wa haraka baada ya leo Oktoba 13, 2025 mabasi hayo kuanza safari za majaribio.

Esterbella Malisa ameshuhudia majaribio hayo.

#AzamTVUpdates
Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *