Wakulima wa mkoani Kagera wamesema bado wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa mikopo yenye gharama nafuu kutoka taasisi za kifedha, hali inayosababisha kushindwa kuendeleza shughuli zao za kilimo, ikiwemo upanuzi wa mashamba na upatikanaji wa pembejeo za kilimo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *