Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura na kudumisha amani na utulivu kipindi hiki cha uchaguzi, ili kuendele kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere.

Wito huo umetolewa na viongozi wa mkoa wa Ruvuma baada ya kushiriki zoezi la usafi na upimaji afya lililoandaliwa na Afya Club kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa mkoa, ikiwa ni kuelekea siku ya kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwalimu Julius Nyerere kesho.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *