Wiki hii ndani ya Kisimbuzi chako cha AzamTV.
Jumanne hii Taifa Stars itakuwa inacheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya Iran.
Wikiendi Yanga na Simba watakuwa viwanja vya ugenini katika mechi za ligi ya mabingwa Afrika.
Katika BUNDESLIGA itapigwa Der Klassiker, Bayern Munich watakuwa uwanja wa nyumbani Allianz Arena wakiwakaribisha Borussia Dortmund.
Kwenye SERIE A, AS Roma watakuwa dimba la nyumbani la Olimpico wakiwakaribisha Inter Milan.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mechi hizi na nyingine nyingi.
#WikiYaMoto #Azamtvsports