ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Ahmed Ally ‘alishangilia’ Yanga Princess kupoteza mchezo wa nusu fainali ya #NgaoYaJamii Alhamisi ya Okt...

ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Ahmed Ally ‘alishangilia’ Yanga Princess kupoteza mchezo wa nusu fainali ya #NgaoYaJamii Alhamisi ya Oktoba 9, 2025.

Ally Kamwe ashngilia Simba Queens kupoteza mbele ya haohao JKT Queens kwenye mchezo wa fainali.

Hii mtaani tunaiitaje….???

Ni #Zilizobamba ya #Viwanjani

#Viwanjani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *