Chama cha ACT – Wazalendo kupitia kwa mgombea Urais wa chama hicho visiwani Zanzibar, Othman Masoud kimeahidi kuongeza kima cha chini cha mishahara kufikia milioni moja kwa wafanyakazi wa umma iwapo kitapata ridhaa ya wananchi ya kushika hatamu za uongozi.
#AzamTVUpdates
Mhariri @moseskwindi