Coaster Kibonde anayegombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Demokrasia Makini amewaahidi wapiga kura kufanya mapinduzi katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu na kuwawezesha walimu kumudu kuvaa suti ili kuliwezesha Taifa kupiga hatua za kimaendeleo.

#AzamTVUpdates
Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *