#HABARI: Balozi wa Uganda nchini Tanzania Mh. Anne Katusiime Kageye, katika ofisi ndogo ya Arusha, ameongoza wananchi wa nchi hiyo wanaoishi nchini Tanzania, kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa nchi hiyo, huku akisistiza umuhimu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, kuongeza ushirikiano katika kulinda amani iliyopo na kuwaelimisha wananchi hasa vijana umuhimu wake.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania