KMKM vs AZAM FC: “Kila mtu ana hamu ya kupeperusha bendera ya timu yetu”

KMKM vs AZAM FC: “Kila mtu ana hamu ya kupeperusha bendera ya timu yetu”
Afisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe amewataja wachezaji ambao bado hawajaungana na wenzao waliopo Zanzibar kwa ajili ya mchezo wao Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC).

Mechi ni Oktoba 18, 2025 saa 10:15 jioni #AzamSports4HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#AzamFC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *