KUTOKA GYMKHANA: “Hatujaweka jitihada ya kutosha kuhakikisha tunachukua ubingwa”
Rais wa Yanga SC, Hersi Said amuomba radhi Kocha Edna Lema wa Yanga Princess akisema kwamba wao kama uongozi, hawajaweka kipaombele kwa upande wa timu hiyo na vijana.
Hersi amesema siku wakiweka kipaombele kwa Yanga Princess, basi wanalibeba kombe.
Kiongozi huyo pia amezungumzia swala la mchakato wa mabadiliko
Ni kwenye tukio maalumu kumhusu Rais wa Yanga SC, Hersi Said.
Kwa sasa Hersi ni Mwenyekiti wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) lakini pia hivi karibuni aliteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya FIFA kwa ngazi ya klabu.
Tulikuwa LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#Yangasc #HersiSaid #Hersi #Yanga #IamHersi #ACA #FIFA