KUTOKA GYMKHANA: Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Oscar Milambo amefunguka namna Tanzania inaweza kunufaika na teuzi zilizofanywa na FIFA kwa Watanzania, Wallace Karia, Hersi Said na Neema Haji.
Ni kwenye tukio maalumu kumhusu Rais wa Yanga SC, Hersi Said.
Kwa sasa Hersi ni Mwenyekiti wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) lakini pia hivi karibuni aliteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya FIFA kwa ngazi ya klabu.
Tulikuwa LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#Yangasc #HersiSaid #Hersi #Yanga #IamHersi #ACA #FIFA