KUTOKA GYMKHANA: Mchambuzi wa soka @ramadhan_mbwaduke ‘anazitafuna’ takwimu usizozijua kuhusu Yanga SC katika misimu minne ambayo timu hiyo imetawala kwenye soka la Tanzania.
Kwenye NBC Premier League Mbwaduke anasema Yanga, imecheza jumla ya michezo 120 na kushinda michezo 100
Ni kwenye tukio maalumu kumhusu Rais wa Yanga SC, Hersi Said.
Kwa sasa Hersi ni Mwenyekiti wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) lakini pia hivi karibuni aliteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya FIFA kwa ngazi ya klabu.
Tuko LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#Yangasc #HersiSaid #Hersi #Yanga #IamHersi #ACA #FIFA