KUTOKA GYMKHANA: Nondo za mtangazaji wa soka @gharib_mzinga akizungumzia mchango wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) kuhakikisha kila...

KUTOKA GYMKHANA: Nondo za mtangazaji wa soka @gharib_mzinga akizungumzia mchango wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) kuhakikisha kila kanda ya kisoka barani Afrika, inatoa mwakilishi kwenye ngazi ya makundi katika michuano ya CAF.

Ni kwenye tukio maalumu kumhusu Rais wa Yanga SC, Hersi Said.

Kwa sasa Hersi ni Mwenyekiti wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) lakini pia hivi karibuni aliteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya FIFA kwa ngazi ya klabu.

Tulikuwa LIVE #AzamSports1HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#Yangasc #HersiSaid #Hersi #Yanga #IamHersi #ACA #FIFA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *