KUTOKA GYMKHANA: Rais wa Yanga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) Hersi Said ataja klabu ambazo zinaruhusiw...

KUTOKA GYMKHANA: Rais wa Yanga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) Hersi Said ataja klabu ambazo zinaruhusiwa kujisajili kwenye chombo hiko ambacho yeye anakiongoza.

Ni kwenye tukio maalumu kumhusu Rais wa Yanga SC, Hersi Said.

Kwa sasa Hersi ni Mwenyekiti wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) lakini pia hivi karibuni aliteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya FIFA kwa ngazi ya klabu.

Tulikuwa LIVE #AzamSports1HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#Yangasc #HersiSaid #Hersi #Yanga #IamHersi #ACA #FIFA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *