KUTOKA GYMKHANA: “Tumeshuhudia akipiga hatua kuelekea juu”

KUTOKA GYMKHANA: “Tumeshuhudia akipiga hatua kuelekea juu”
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe anasema Rais wa timu hiyo Hersi Said amekuwa na mwendelezo mzuri tangu achukue madaraka mitaa ya Jangwani mwaka 2022.

Kwa sasa Hersi ni Mwenyekiti wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) lakini pia hivi karibuni aliteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya FIFA kwa ngazi ya klabu.

Tuko LIVE #AzamSports1HD

#Yangasc #HersiSaid #Hersi #Yanga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *