LIGI YA MABINGWA AFRIKA: Wachambuzi wa soka na watangazaji Farhan Kihamu na Gharib Mzinga, wamewachambua wapinzani wa Simba na Y...

LIGI YA MABINGWA AFRIKA: Wachambuzi wa soka na watangazaji Farhan Kihamu na Gharib Mzinga, wamewachambua wapinzani wa Simba na Yanga kwenye mechi zao zinazofuata za Ligi ya Mabingwa Afrika.

Timu hizo ni Nsingizini ya Eswatini ambao watacheza dhidi ya Simba na Silver Strikers ya Malawi ambao watacheza dhidi ya Yanga SC.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#Simba #Yanga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *