#MechiYaKirafiki: Morice Abraham, Lusajo Mwaikenda na Tarryn Allarakhia ni miongoni mwa wachezaji ambao wamemkosha ‘Kachero’ @abissay_stephen kwenye mchezo wa leo wa kirafiki dhidi ya Iran.
Abissay amewaomba Watanzania wasihadaike na matokeo ya leo akisema kwamba wapo wachezaji wengi wanaocheza nje ya Tanzania na ndani ya nchi hawakuwepo Dubai leo.
FT: Iran 2-0 Tanzania
Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD
#MechiYaKirafiki #IranVsTanzania #Iran #Tanzania #IRNTAN