#MechiYaKirafiki: Tarryn Allarakhia, Yahya Zayd na Lusajo Mwaikenda ndio wachezaji waliomkosha ‘Kocha’ @godlisten_muro7 katika mchezo wa leo wa kirafiki dhidi ya Iran.
Muro anasema mchezo wa leo unaendelea kumpa fursa zaidi Kocha Hemed Suleimana Ali ‘Morocco’ kuelekea kwenye michuano ya #AFCON2025
FT: Iran 2-0 Tanzania
Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD
#MechiYaKirafiki #IranVsTanzania #Iran #Tanzania #IRNTAN