Mgombea Urais Kunje Ngombale Mwiru wa Chama cha Wakulima (AAFP) ameahidi kuanzisha ujenzi wa masoko na hospitali za kanda mkoani Kigoma pamoja na kuwapatia bure wananchi bima ya afya akichaguliwa kuwa Rais wa Tanzania.

Jacob Ruvilo ana maelezo zaidi.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *