Mgombea wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu ameahidi kuwa na Bunge litakalokuwa na nguvu ya kuiwajibisha serikali atakayoiunda endapo atafanikiwa kushinda Urais mwaka huu.
Mwalimu ametoa ahadi hiyo akiwa kiwa wilayani Liwale kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29.
Mhariri @moseskwindi