Taasisi ya Udhibiti wa Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imewapa mbinu wakulima nchini namna bora ya kuzitambua mbegu bora ili kupata mafanikio katika kilimo.

TOSCI imetumia maadhimisho ya ‘Wiki ya Chakula Duniani’ yanayofanyika Tanga kutoa elimu hiyo kama ambavyo Mkurugenzi wa Majaribio na Tathmini ya Mbegu wa taasisi hiyo, Matengia Swai anavyoeleza.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *