Wajasiriamali kutoka maeneo mbalimbali nchini wamekutana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na kuuza bidhaa za utamaduni kwa watalii mbalimbali waliojitokeza katika hafla hiyo.
Karim Bhallo, Mkurugenzi wa Kampuni ya Zambarau Gems, amesema Mwalimu Nyerere alihifadhi urithi na utamaduni wa Afrika na kuacha alama inayolitambulisha Taifa la Tanzania duniani kote.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi