ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Wakati Tanzania ikiadhimisha miaka 26 ya tangu kufariki kwa Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius N...

ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Wakati Tanzania ikiadhimisha miaka 26 ya tangu kufariki kwa Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere, mtangazaji wa kandanda nchini @ngodaalwatan amekumbushia namna mambo yalivyokuwa mtaani kwao jijini Tanga baada ya kusikia taarifa ya kifo cha kiongozi huyo aliyefariki siku kama ya leo mwaka 1999.

Kwa upande wake mchambuzi wa soka @akingamkono anasema wakati huo yeye alikuwa ndio anakaribia kumaliza kidato cha nne na baada ya msiba, sherehe za kumaliza shule (mahafali) zilisimama.

Ni #Zilizobamba mitandaoni kupitia #Viwanjani

#Viwanja

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *