Baada ya kusimama kupisha kalenda ya FIFA, NBC Premier League inarejea Ijumaa hii kwa michezo miwili

Baada ya kusimama kupisha kalenda ya FIFA, NBC Premier League inarejea Ijumaa hii kwa michezo miwili

Saa 8:00 mchana, Pamba Jiji watakuwa dimba la CCM Kirumba wakiwakaribisha Mashujaa FC.

Saa 10:15 jioni, Fountain Gate watakuwa uwanja wa Tanzanite Kwaraa wakiwaalika Dodoma Jiji.

Michezo hii kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

Je, ni timu gani kuondoka na alama tatu?

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama NBC Premier League mwezi mzima.

#NBCPL #SisiNiSoka #Azamtvsports

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *