Baada yta kalenda FIFA, Serie A inarejea wikiendi hii kwa michezo hii kupigwa
Big Game, Jumamosi AS Roma watakuwa uwanja wa nyumbani Olimpico wakiwakaribisha Inter Milan.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama Serie A mwezi mzima.
#SerieA #Azamtvsports