Baadhi ya Wakazi wa Mkoa wa Kagera kwa Kauli wameipokea kauli ya tunatiki ambapo aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amefanya ziara katika mkoa wa Kagera katika kampeni za kuendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuelekea uchaguzi mkuu ujao.
Akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Kagera wilaya ya Bukoba. Nyalandu amewataka wananchi kwa ujumla kuilinda amani na waendele kumwa amini Dkt Samia katika uogozi wake na wampe kura za kutosha siku ya Octobar 29.
Ziara hiyo ni sehemu ya kampeni ya kitaifa inayolenga kuhamasisha uungwaji mkono kwa Rais Samia kuelekea uchaguzi mkuu.
#StarTvUpdate