#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyokuwa inaendelea katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirishwa hadi kesho Oktoba 16, 2025.
Kesi hiyo ilikuwa ikiendelea leo kwa shahidi wa pili kuendelea kuulizwa maswali lakini hata hivyo, Upande wa Jamhuri uliomba ahirisho ili waweze kushiriki maziko ya Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga, Asha Hamis Mwetindwa.
•Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania