#HABARI: Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma imetupilia mbali ombi la Bw. Luhaga Mpina na Bodi ya Wadhamini ya Chama cha ACT- Wazalendo kupinga kuenguliwa kwenye kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi huu, mara baada ya Mahakama kujiridhisha kuwa haina mamlaka kikataba ya kuingilia maamuzi yoyote, yanayofanyika kwa nia njema na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *