#HABARI: Mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, Bi Anna Mary Polepole akiwa baadhi ya ndugu wa Polepole katika viunga vya Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza shauri la Polepole dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Ispekta Jenerali wa Polisi (IJP), Mkuu wa upelelezi kanda ya Dar es Salaam (ZCO) na Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es Salaam (ZPC).
Mahakama hiyo Inaendelea hii leo na usikilizaji baada wajibu maombi kuwasilisha kiapo kinzani.
•Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania