#HABARI: Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama cha NLD, Bw.Doyo Hassani Doyo amesema akipata ridhaa ya kuongoza nchi, ataongeza ruzuku kwa wawekezaji wanaosambaza Nishati ya Gesi, ili kutoa fursa kwa kila mwananchi kutumia Nishati safi ya kupikia kwa lengo la kutunza mazingira.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.