#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa tiketi ya Chama cha SAU Majalio Kyara, ameahidi kwamba akiingia madarakani atahakikisha anamaliza changamoto ya upatikanaji wa soko la uhakika wa zao la Mbaazi, kwa wakulima wa zao hilo katika kila msimu, ili kila mkulima aweze kunufaika nalo, katika kupambana na umasikini na kuimarisha uchumi.

Majalio Kyara akiwa Endasak Hanang mkoani Manyara alisimama uzungumza na wananchi, akinadi ilani ya Chama cha SAU na kuomba kura kwa wananchi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *