#HABARI: Wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari, eneo la Dongobesh Wilayani Mbulu mkoani Manyara wameanza kunufaika na huduma ya maji safi, ambapo awali walilazimika kutembea umbali mrefu kufuata huduma hiyo huku baadhi ya wanafunzi wakikatisha ratiba za masomo.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lea pamoja na Sekondari ya Dongobesh, watahudumiwa na mradi huo wa maji safi, jambo ambalo litaongeza ufaulu kwa wanafunzi, na mazingira salama ya wanafunzi wa kike wakati ya hedhi.

•Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *