#HABARI:Aliyekuwa Waziri Mkuu nchini Kenya Raila Odinga atazikwa siku ya Jumapili nyumbani kwake katika Kaunti ya Siaya.
Taarifa hiyo imetolewa na Kamati ya Maandalizi ya mazishi inayoongozwa na Naibu Rais Kithure Kindiki.
Kindiki amesema mwili wa Raila utapelekwa katika majengo ya bunge hapo kesho, ili kuagwa na wananchi kuanzia saa sita mchana hadi saa kumi na moja jioni.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.