#HABARI:Shirika la Umeme TANESCO mkoani Katavi, limewakamata watu wanne na mmoja anaendelea kutafutwa wote wakazi wa Kitongoji cha Isagala kijiji cha Uruila, katika Halmashauri ya Nsimbo wilaya ya Mpanda kwa kosa la kutumia umeme, bila kulipa kwa kipindi cha miaka miwili hadi mitatu.

Afisa Usalama wa TANESCO Bw. Abed Hamad, amesema zoezi la ukamataji wa watu wanaoiba umeme ni endelevu.

Wakieleza sababu ya kutokununua umeme kwa muda mrefu, huku wakiendelea kuutumia baadhi ya watuhumiwa hao wanadai kuwa walidhani wamepata ofa kutokana na umeme kutokukatika.
Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *