Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah, amewataka wafanyabiashara kuhakikisha wanazalisha bidhaa zenye ubora zinazokidhi viwango vya kimataifa.
Wito huo umetolewa ili kuhakikisha bidhaa zinazozalishwa nchini zinashindana kwenye soko la kimataifa.
✍ Mariam Shedafa
#AzamTVUpdates