KUTOKA DUBAI: “Pamoja na kwamba tumefungwa lakini timu yetu imejitahidi kucheza vizuri”

KUTOKA DUBAI: “Pamoja na kwamba tumefungwa lakini timu yetu imejitahidi kucheza vizuri”
Mdau wa soka nchini Said Tully amesema miongoni mwa changamoto zinazowakabili baadhi ya wachezaji wa Taifa Stars ambao wanacheza Simba na Yanga, ni kwamba hawapati muda wa kutosha kwenye klabu zao.

Kwahiyo wanapokwenda kwenye Timu ya Taifa ndio wanapata nafasi na hapo wanakuwa kama wanaanza upya.

Tully anasema watu wanapaswa kujua kwamba Iran ni timu kubwa kwenye soka la dunia, sio kama vile watu wanavyoidhania.

Aliyewahi kuwa kocha wa muda wa Simba SC, Talib Hilary ameuchambua kiufundi zaidi mchezo wa jana wa kirafiki kati ya Iran dhidi ya Tanzania.

Katika mechi hiyo Stars ilipoteza kwa jumla ya magoli 2-0.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#MechiYaKirafiki #IranVsTanzania #Iran #Tanzania #IRNTAN

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *