LALIGA inarejea wikiendi hii kwa michezo hii

LALIGA inarejea wikiendi hii kwa michezo hii.

Barcelona kuwakaribisha Girona, huku wabishi Atletico Madrid kuwa wenyeji wa Osasuna, wakati Los Blancos watakuwa ugenini kuwakabili Getafe.

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama LALIGA mbashara kupitia AzamSports4HD mwezi mzima.

#Laliga #Azamtvsports

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *