Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amewataka Watanzania kuwa makini na taarifa za upotoshaji zinazochapishwa kwenye mitandao ya kijamii.

Amesisitiza umuhimu wa wananchi kutumia vyanzo rasmi vya habari na kujenga utamaduni wa kuthibitisha taarifa kabla ya kuzisambaza.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *