Mgombea Urais Hamad Rashid Mohamed ameahidi kuunganisha mfumo wa elimu ya madrasa katika mfumo wa elimu visiwani Zanzibar iwapo atafanikiwa kupata ridhaa ya wananchi ya kuwa Rais wa Zanzibar.
Rashid ambaye anawania Urais kwa tiketi ya ADC amesema hayo leo kama anavyoarifu zaidi Ali Issa.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi