Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dkt Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuanzisha kituo maalum cha utoaji wa huduma za kitabibu kwa watu wenye ulemavu sambamba na kutoa vifaa visaidizi kwa watu wenye ulemavu ikiwa ni sehemu ya dhamira yake ya kuhakikisha kundi hilo linapata huduma bora za afya na haki sawa katika jami.

Mtumwa Saidi ameandaa taarifa ifuatayo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *