Photos from Habari Star TV Tanzania's post

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti ya picha alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba Mkoani Kagera tayari kwa kuzisaka kura Katika Kampeni za uchaguzi Mkuu leo Octoba 15,2025.

#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *